|     Tel: +255 (0) 773 277 681 | Email: info@zari.or.tz | Miwani Road, Kizimbani,Zanzibar
ZARI Header Image
WAZIRI APANDA MIKOKO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MISITU DUNIANI-April 2019

WAZIRI APANDA MIKOKO KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MISITU DUNIANI-April 2019

Katika kuadhimisha siku ya Misitu Duniani, Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi kupitia Idara ya Misitu na Maliasili Zisizorejesheka Zanzibar katika kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani tarehe 21/03/2019, maadhimisho ambaya natarajiwa kufanyika kitaifa huko kisiwa Pemba yenye Kauli mbiu ‘Misitu na Elimu”. Kwa upande wa Unguja shamra shamra za maadhimisho hayo zilifanyika huko Pete, Wilaya ya Kati kwa Upandaji wa mikoko katika fukwe ambapo Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, Waziri wa Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi alishiriki zoezi hilo akiwa ni mgeni rasmi.

Close Menu